FAIDA ZA KUCHEKA KWA AFYA (mwili na akili)

 

Najua unajua msemo huu ” Cheka uongoze siku za kuishi” wala si uongo ni kweli kabisa madaktari na wana saikolojia duniani wamethibitisha kwamba KUCHEKA kuna faida kwa afya ya binadamu na kukufanya uweze kuishi zaidi.

  • kucheka kuna chochea mwili kuongeza kinga dhidi ya magonjwa, unapocheka mara kwa mara antibody cells mwilini zinazalishwa zaidi hivyo mwili wako unakuwa na kinga zaidi ya kupambana na kuzuia magonjwa.

  • kucheka kunasaidia kushusha high blood pressure, na kumfanya mtu ajisikie vizuri na kuwa katika hali ya kawaida.
  • kucheka kuna ondoa msongo wa mawazo, wasiwasi, hasira maana unapocheka misuli ya mwili ina relaxe kam dakika 45, na mawazo yote hasi katika akili yako yanaondoka, na unabaki ukiwa na furaha.

  • kucheka kunatuliza maumivu katika mwili, unapocheka hormones za endorphins mwilini zinazalishwa na zinasaidia kutuliza maumivu yoyote yaliyopo katika mwili wako.

  • watu wanaocheka mara kwa mara wana nafasi kubwa ya kukumbuka na kujifunza mambo mengi kiurahisi huu ni utafiti uliofanywa na Chuo kikuu cha Johns Hopkins University Medical School.


-Kucheka, pia kunakupa mvuto, mafanikio, kujiamini na pia unapo kuwa mtu wa Kucheka au kutabasamu kila wakati unakuwa Na nafasi ya kupata marafiki Na kupendwa Na watu tofauti Na mtu anaye penda kununa nuna.

Mpaka hapo umeona kucheka ni kitu kidogo sana na hakina gharama yoyote, ila kinakuletea faida nyingi sana kwa afya yako. Kumbuka kucheka sio kwamba kila kitu kiko sawa ila hata kama una matatizo kucheka pia kunasaidia akili yako ufanye kazi vizuri ili upate ufumbuzi na mwili wako uwe salama, upunguze uwezekano wa kupata msongo wa mawazo na kupata magonjwa ya moyo.
Kwa ushauri wa maisha, ujasiriamali Na Mafanikio, whatsap 0752 741 831.

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s