About me

image

Hi naitwa Eunice Mahundi, ni mjasiriamali, life coach, mkulima, mwandishi, na blogger. Hapa utapa mambo mbalimbali kuhusu life coaching ambapo nafundisha na kutoa ushauri, mbinu na mikakati ya kufanya hatua kwa hatua ili kukusaidia, kuleta mabadiliko bora zaidi katika maisha yako, kupambana na changamoto na kuondoa vikwazo vinavyo kuzuia kutimiza malengo yako au kupata mafanikio unayo taka, iwe katika kazi, biashara elimu, afya, mahusiano au kupata mwelekeo mzuri wa maisha.

image.jpeg

image

image

Asante Kwa kutembelea blog yangu na wakaribishe na wengine.

Life Coach Eunice

Advertisements

2 thoughts on “About me

  1. Asante sana eunice mimi najulikana kama solomon kutoka lokichoggio kenya nimefuraia sana mafunzo na ushauri wako hasa kwa jamii kuhusu swala la biashara nimenufaika pakubwa asante sana na mungu akubariki’

    Like

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s