HUDUMA ZANGU

image

Ukihitaji ushauri kwa jambo lolote lile linalokutatiza katika maisha yako, unaweza  kuwasiliana na mimi kama ifuatavyo

e-mail: eunicemahundi@yahoo.com

Whatsap: 0752 741831

Yote tutakayoongea mimi na wewe yatabaki kuwa Siri.

Pia kama unahitaji muelimishaji wa mada yoyote ile ya kijamii na kiuchumi kwa vikundi vya wanawake au vijana nione kwa mawasiliano hayo juu.

Nimefanya kazi na vijana na wanawake katika miradi ya kijamii  na uchumi kama kama mratibu na mshauri , hivyo nina uzoefu wa kutosha.

Kama unataka mtu wa kukuandikia post kwa ajili ya mitandao ya kijamii kuhusu mada mbali mbali kwa ajili ya wanawake na vijana, unaweza kuniona pia.

image

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s