MATANGAZO

 

image
TANGAZO: NAFASI ZA KAZI MAFUNDI WASHONA NGUO WANAJITAJIKA Mteja wetu Tanzanite Tailoring Mart inayotarajiwa kufunguliwa Miezi michache ijayo Dar es Salaam. Inahitaji mafundi wa Kushona nguo ; – uwe raia halali wa Tanzanaia – umri kuanzia miaka 22 hadi 35, mwanamke au Mwanamke – uwe umesomea mambo ya ushonaji katika Chuo kinachotambulika na VETA – uwe na uwezo wa kutengeneza patterns, kukata na kushona nguo za kike na Kiume za materials tofauti tofauti mitindo ya kisasa – uwe na uwezo wa kufanya Kazi bila kusimamiwa na kumaliza katika Muda unaotakiwa – uwe mwaminifu, mchapakazi, mwenye heshima na kujituma Tuma maombi yako ya Kazi Kwa manager wa Tanzanite Tailoring Mart Kwa barua pepe (email) – tanzanitetailoringmart@yahoo.com, elezea ujuzi na uzoefu wako, umesomea wapi, mshahara unaotegemea kulipwa na ukiweza tuma baadhi ya picha ya nguo ulizowahi Kushona, weka na namba zako za simu. Maombi yataanza kupokelewa kuanzia tarehe 31/5/2016 hadi 31/6/2016, baada ya hapo watakao chaguliwa watapigiwa simu waende kwenye usaili.
Shamba La Kupanda Miti Ya Mbao Ama Nguzo linauzwa, Mufindi, Iringa. Shamba Lina ukubwa wa ekari 50. Kila ekari inauzwa Kwa shilingi 180,000/ Kwa ekari. Mawasiliano 0759634110.
Shamba La Kupanda Miti Ya Mbao Ama Nguzo linauzwa, Mufindi, Iringa. Shamba Lina ukubwa wa ekari 50. Kila ekari inauzwa Kwa shilingi 180,000/ Kwa ekari. Mawasiliano 0759634110.
Advertisements